Fika Ofisini Kwetu

Iwe unataka kujisajili kama mwanariadha, kuwa mdhamini, au kujitolea, milango yetu ipo wazi.

Makao Makuu

Kijiji cha Vikindu, Kata ya Vikindu
Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Pwani

Anuani (P.O. Box)

S.L.P 21425
Dar es Salaam / Mkuranga-Pwani

Simu

0676077711

Tuma Ujumbe

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQ)

Ninawezaje kujiunga na Club?

Unaweza kujiunga kwa kufika ofisi zetu Vikindu au kwa kutuma ujumbe kupitia fomu hapo juu ili kupewa fomu ya usajili na maelekezo ya kulipa ada ya uanachama.

Je, mnakubali wadhamini wa kampuni?

Ndio! Sisi ni klabu iliyosajiliwa rasmi. Tunakaribisha kampuni kudhamini matukio yetu kwa kubadilishana na matangazo kwenye jezi zetu na mabango ya mashindano.