Kalenda ya Mashindano

Shiriki katika matukio ya ngazi ya Wilaya, Mkoa, na Taifa.

Aina ya Mbio Umbali Kundi (Target Group) Ada (Fee)
Fun Run / Health Walk 5 KM Familia, Watoto, na Wazee Angalia Portal
District Qualifier 10 KM Wanariadha chipukizi Angalia Portal
Pwani Half Marathon 21 KM Wataalamu (Elite runners) Angalia Portal

Kamati ya Nidhamu na Usuluhishi

Kulingana na katiba yetu, matukio yote ya kimichezo yanasimamiwa na Kamati yetu huru ya Nidhamu. Hii inahakikisha uchezaji wa haki na kutatua migogoro bila kwenda mahakamani.

Jinsi ya Kujiandikisha

  1. Chagua aina ya mbio kutoka kwenye kalenda inayokuja.
  2. Lipa ada ya usajili kupitia namba za simu (Mobile Money) zilizotolewa.
  3. Jaza fomu ya usajili na makubaliano ya afya (waiver form).
  4. Chukua namba yako ya kukimbia (Bib) kwenye vituo maalum vya Mkuranga masaa 48 kabla ya mbio.
Anza Usajili